• Amina Said Mrisho ateuliwa kuwa Kamishna wa Sensa ya Mwaka 2012

    Posted Wed at 12:32 AM by Abuu Abdalah

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bibi Amina Saidi Mrisho kuwa Kamishna wa Sensa ya Mwaka 2012.Aidha, Rais Kikwete amemteua Bibi Seraphia R. Mgembe kuwa Mratibu wa Mpango wa Kurasimisha Raslimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA).Taarifa il...

  • Joseph Mbilinyi "Sugu" na Ruge Mutahaba wasuluhishana

    Posted Wed at 12:14 AM by Digitalman

      Waziri wa Habari na Utamaduni, Mh. Emmanuel Nchimbi akishirikiana na Mnadhimu Mkuu wa Upinzani Bungeni, Mh. Tundu Lissu wamewapatanisha mahasimu wawili Mbunge wa Mbeya Mjini, Mh. Joseph Mbilinyi na Mkurugenzi wa Clouds Media Ruge Mutahaba. Katika usuluhishi huo, pande zote mbili zimekubali...

  • John Mnyika: Kanuni za Uchaguzi wa Wabunge wa EAC zirekebishwe

    Posted February 19 by Kasongo

    Mihimili miwili ya nchi yaani bunge na serikali inapaswa kutoa uongozi thabiti wenye kuwezesha Tanzania kupata wabunge wanaokubalika na umma wa Bunge la Afrika Mashariki katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika kwenye mkutano ujao wa bunge. Ili kutimiza azma hiyo Spika wa Bunge Anna Makinda anapasw...

  • Dk. Harrison Mwakyembe Ajibu Taarifa Ya Jeshi La Polisi Juu Ya Yeye Kutonyweshwa Sumu

    Posted February 18 by Proches Tairo

      Dk. Harrison G. Mwakyembe (Mb), NW-UJ   Dar es Salaam   18/02/12   TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI    Nimelazimika leo Jumamosi, tarehe 18 Februari, 2012 kutoa taarifa hii kwa vyombo vya habari kufuatia mkutano wa DCI Robert Manumba na waandishi wa habari jan...

  • Tamko la serikali kuhusu mpango wa uendeshaji wa shughuli za serikali kwa uwazi (Open Government Partnership - OGP)

    Posted February 15 by Ngasa Mhujumu

    Tanzania imeridhia kujiunga na Mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa Uwazri (Open Government Partnership – OGP). Mpango huu ni juhudi za kimatifa katika kuhimiza uendeshaji wa Serikali kwa uwazi zaidi, ushirikishwaji mkubwa wa wananchi, kudhibiti rushwa katika jamii na kuimarisha ut...

  • Nape: Taarifa kuhusu baraza la ushauri la wazee wa CCM

    Posted February 15 by Ngasa Mhujumu

    Kumekuwa na tafsiri zisizosahihi juu ya baadhi ya maamuzi yaliyofanywa na kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichoketi mjini Dodoma tarehe 12/02/2012 chini ya uenyekiti wa Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, Mwenyekiti wa CCM Taifa.   Jambo kubwa ambalo linapotoshwa sana ni la uamuzi wa NEC kuun...

  • DAWASCO kutozingatia ratiba ya mgawo wa maji

    Posted February 15 by Kasongo

    Mbunge wa Ubungo, John Mnyika ametoa mwito wa Kampuni ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASCO) kutoa taarifa kwa umma kuhusu kutozingatiwa kwa ratiba ya mgawo wa maji katika Jiji la Dar es salaam hali ambayo imesababisha kero ya maji katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Ubungo.   Mnyika ametoa mwi...

  • CUF yakanusha kadi kurudishwa

    Posted February 14 by Proches Tairo

      Hivi karibuni kumekuwa na taarifa za uongo na propaganda zinazoenezwa na Hamadi Rashid kwenye vyombo vya habari kwamba zaidi ya wanachama 1000 wa CUF wa mikoa ya Dar es Salaam na maeneo mengine wamerudisha kadi na kumkabidhi Hamad Rashid.   CUF imefuatilia na kubaini habari hizi ni ...

  • President Kikwete congratulates newly elected President of the Republic of Finland

    Posted February 14 by Abuu Abdalah

    His Excellency Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania sends a congratulatory message to His Excellency Sauli Niinistö, President-Elect of the Republic of Finland, following the election held on 5th of February, 2012. The message reads as follows;“His Excellenc...

  • Membe on a bilateral meeting with Finnish Minister of International Development

    Posted February 14 by Abuu Abdalah

      Hon. Bernard K. Membe (MP), the Minister for Foreign Affairs and International Cooperation, on a bilateral meeting with Hon. Heidi Hautala, the Minister of International Development of Finland in Helsinki on14th February, 2012.   Tanzanian Minister for Foreign Affairs and Internatio...