Saa Ishirini na Nne: Hotuba ya Nyerere dhidi ya Gaddafi 27 Machi 1979

Created by Proches Tairo October 28, 2011 - Category: Speeches
4 comments, 596 views, 5 likes

Tarehe 27 Machi 1979, Mwalimu Julius Nyerere aliwahutubia wananchi juu ya Ujumbe wa Gadafi uliotumwa kwake wakati Tanzania ikiwa katika vita dhidi ya Uganda. Hotuba ile ilipachikwa jina "Saa Ishirini na Nne" na hii nikutokana na kwamba Kanali Gaddafi, ambaye wakati huo alikuwa akitaka kuisaidia Uganda katika mgogoro huo, aliipa Tanzania saa 24 kuondoa majeshi yake katika ardhi ya Uganda. Hata hivyo, Tanzania haikuondoa majeshi yake. Nyerere alimjibu Balozi wa Libya aliyetumwa na Gadafi amfikishie Gadafi hayo maneno. Kwenye hii hotuba Nyerere aliweka wazi nini alimjibu Gadafi. Shukrani za dhati zimwendee Mroki T Mroki aka Father Kidevu kwa kuchapisha nakala ya hii hotuba.

This document has been released into the public domain.

4 comments
  • Abuu Abdalah
    Abuu Abdalah After being walloped and then forgiven by Nyerere, Brother Gaddafi should have learnt some lessons in humility, magnanimity, the sanctity of life and the dignity of fellow humans including Libyans who hold views contrary to his.
    October 28, 2011 - 1 likes this
  • Visionman
    Visionman Nimeipenda hii: Inamyeshea ya masika. Inamnyeshea sana. Na kweli ilimnyeshea hata Gaddafi.
    October 28, 2011
  • George  Mtelemwa
    George Mtelemwa Nyerere alikuwa kiongozi wa ukweli. Najaribu kufikiria vita kama ingetokea leo sijui ingekuwaje. Watanzania tumekosa mshikamano. Viongozi wetu nao wanajichanganya kwneye statements wanazotoa hata kwa mambo ya kawaida tuu.
    October 28, 2011
  • Jacob Mtenga
    Jacob Mtenga Nice speech
    October 28, 2011