flora msoffe
ooops roho imeniuma sana ,huyu abel motika was my favourate artist
kifo chake kimenipa simanzi kubwa sana moyoni mwangu,si rahisi kumsahau kirahisi.rest in peace abel motika loshilaa wewe mbele sisi tutakufwata nyuma ,hakika hii ni njia ya kila mmoja wetu