Search News

Recent News

Top News

  • “We are all wading in blood”

    Posted 2012-02-22 by: vijana.fm

    In this compelling article, Jonathan Littell describes the view from sniper-watched streets earlier this month in Homs, Syria. Reader discretion is advised.

    Comments: 0   View more...

  • Mnyika amshukia Ngeleja mikataba ya gesi, mafuta

    Posted 2012-02-21 by: mwananchi.co.tz

    Geofrey Nyangóro - MBUNGE wa Ubungo, John  Mnyika  ametaka Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja kuwajibika kwa kitendo chake cha kuendelea kuruhusu kusainiwa kwa mikataba katika sekta ya madini bila ya kamati ya Bunge ya Nishati na Madini kuhusishwa. - - Mnyika ambaye pia ni Waziri kivuli wa Wizara ya Nishati na Madini ametoa kauli hiyo jana, siku moja tu baada ya Waziri Ngeleja kutiliana  saini kwa niaba ya Serikali na kampuni ya kuchimba mafuta na gesi ya Swala. - Akizungumza na M ...

    Comments: 0   View more...

  • Misaada ya wahisani hurutubisha ufisadi nchini

    Posted 2012-02-21 by: mwananchi.co.tz

    Dotto Kahindi na mashirika ya habari - MISAADA inayoendelea kutolewa na wahisani kwa Serikali ya Tanzania imetajwa kuchangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la vitendo vya ufisadi na ukiukwaji wa haki za binadamu huku ikiwaacha wananchi wakiishi katika maisha duni na umasikini wa kutupwa. - - Madai hayo yamewekwa bayana na Jarida la The London Evening Post, la Februari 20 mwaka huu ambapo limeeleza kuwa wakati rushwa na ufisadi vikiwa vimeenea katika ngazi zote za Serikali nchini Tanzania, nchi wah­ ...

    Comments: 0   View more...

  • Kesi ya Kafulila kutajwa Machi 15

    Posted 2012-02-21 by: mwananchi.co.tz

    James Magai - KESI ya kupinga kuvuliwa uanachama inayomkabili Mbunge wa Kigoma Kusini kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, David Kafulila na wenzake saba imepangwa kutajwa Machi 15, mwaka huu. - - Kafulia na wenzake kupitia kwa wakili wao, Daniel Welwel, walifungua kesi Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam dhidi ya NCCR-Mageuzi akipinga uamuzi wa chama hicho kumvua uanachama. - - Licha ya Kafulila, walalamikaji wengine katika kesi hiyo ni aliyekuwa mgombea Urais kupitia chama hicho katika uchaguzi m­ ...

    Comments: 0   View more...

  • Wakaguzi waenda Singapore kuchunguza miradi hewa ya TBS

    Posted 2012-02-21 by: mwananchi.co.tz

    Patricia Kimelemeta OFISI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imetuma wakaguzi kwa ajili ya kukagua ofisi za ukaguzi wa magari nje ya nchi zinazosimamiwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS). - - Hatua hiyo imekuja baada ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC); Fedha na Uchumi; na Kamati ya Hesabu za Serikali Kuu (PAC) kudai kuwa Mkurugenzi wa TBS,Charles Ekelege, aliwasilisha taarifa za uongo kwamba Tanzania ina ofisi ya ukaguzi wa magari nje ya nchi wakat­ ...

    Comments: 0   View more...

  • IKULU yajitenga na ripoti ya Mwakyembe

    Posted 2012-02-21 by: mwananchi.co.tz

    Leon Bahati - OFISI ya Rais (Uhusiano na Uratibu), imejitenga na taarifa tata za ripoti kuhusu ugonjwa unaomsumbua Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk Harrison Mwakyembe, kama unatokana na kulishwa sumu au la. - - Badala yake, Ikulu imezitaka wizara mbili zilizoibua mkanganyiko huo; Mambo ya Ndani ya Nchi na Afya na Ustawi wa Jamii, kukaa chini na kuondoa utata huo. - - Akizungumza kwenye mahojiano na gazeti hili Dar es Salaam  jana, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wasira, ...

    Comments: 0   View more...

  • Dk Slaa, mchumba wake hatarini kutiwa mbaroni

    Posted 2012-02-21 by: mwananchi.co.tz

    Peter Saramba, Arusha -  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha imemwagiza Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa na mchumba wake, Josephine Mushumbuzi na mwanachama mwingine wa chama hichi, Aquilinne Chuwa kufika mahakamani hapo leo vinginevyo itatoa hati ya kukamatwa. - - Agizo hilo la Mahakama limekuja baada ya Dk Slaa na Mushumbuzi kushindwa kufika mahakamani hapo jana kusikiliza kesi inayowakabili pia viongozi wengine waandamizi wa chama hicho, akiwamo Mwenyekiti, Freeman Mbowe. - - Mbowe na ...

    Comments: 0   View more...

  • CCM Arumeru waanza kuvurugana

    Posted 2012-02-21 by: mwananchi.co.tz

    Moses Mashalla, Mussa Juma, Arumeru - SIKU moja baada ya wanachama wa CCM, Jimbo la Arumeru Mashariki kumpendekeza Sioi Sumari kuwa mgombea wake katika uchaguzi mdogo ujao, baadhi ya wanachama wa Umoja wa Vijana (UVCCM) wilayani humo, wamepinga uteuzi huo wakidai kuwa uchaguzi uligubikwa na mizengwe. - - Juzi, mkutano Mkuu wa Jimbo hilo ulimchagua Sioi, mtoto wa aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, marehemu Jeremiah Sumari kwa kura 361 akifuatiwa na William Sarakikya aliyepata kura 259, Elishilia Ka­ ...

    Comments: 0   View more...

  • Dk Slaa, mchumba wake hatarini kutiwa mbaroni

    Posted 2012-02-21 by: mwananchi.co.tz

    Peter Saramba, Arusha -  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha imemwagiza Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa na mchumba wake, Josephine Mushumbuzi na mwanachama mwingine wa chama hichi, Aquilinne Chuwa kufika mahakamani hapo leo vinginevyo itatoa hati ya kukamatwa. - - Agizo hilo la Mahakama limekuja baada ya Dk Slaa na Mushumbuzi kushindwa kufika mahakamani hapo jana kusikiliza kesi inayowakabili pia viongozi wengine waandamizi wa chama hicho, akiwamo Mwenyekiti, Freeman Mbowe. - - Mbowe na ...

    Comments: 0   View more...

  • Mnyika amshukia Ngeleja mikataba ya gesi, mafuta

    Posted 2012-02-21 by: 174.132.155.185

    Geofrey Nyangóro - MBUNGE wa Ubungo, John  Mnyika  ametaka Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja kuwajibika kwa kitendo chake cha kuendelea kuruhusu kusainiwa kwa mikataba katika sekta ya madini bila ya kamati ya Bunge ya Nishati na Madini kuhusishwa. - - Mnyika ambaye pia ni Waziri kivuli wa Wizara ya Nishati na Madini ametoa kauli hiyo jana, siku moja tu baada ya Waziri Ngeleja kutiliana  saini kwa niaba ya Serikali na kampuni ya kuchimba mafuta na gesi ya Swala. - Akizungumza na M ...

    Comments: 0   View more...

1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 | 8 | 9 | 10 | Next »