Mkasi - S01E13 with Nyoshi El Sadat

Posted by Roza Malima
Nyoshi El Saadat ni Kiongozi wa Bendi ya Muziki wa Dansi ya FM Academia au Wazee wa Ngwasuma aliongelea kuhusu umaarufu wa FM Academia, maisha yake ya kawaida kama Baba wa watoto watano, maisha bila ya mke, mahusiano yake na dada wa nyumbani ambae anamsaidia kulea watoto wake, historia yake toka Congo na nchi nyengine nyingi alizopita kabla ya kuja Tanzania, mapenzi yake kwa nchi hii na mambo alokutana nayo toka ameanza FM Academia, imani za kishirikina kwenye muziki wa dansi, wanamuziki wanaomvutia hapa nyumbani na mambo mengine mengi.
Posted February 15 - Filed in Entertainment - #Mkasi  #S01E13  #Nyoshi El Sadat 
click to rate

286 views

Comments

0 comments