Mahojiano na Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa CUF - Part 1

Posted by Jonathan Matiku
Sehemu ya mahojiano na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) ambaye pia alikuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1995, 2000, 2005, 2010) akizungumzia kilichomleta nchini Marekani, hali ya siasa ndani ya CUF, kwanini chama chake kimepoteza mguso kwa wananchi, siasa za nchi na hata kujibu maswali toka kwa wasomaji mbalimbali waliouliza kupitia mtandao wa Facebok.
Posted February 12 - Filed in News & Politics - #CUF  #Ibrahim Lipumba 
click to rate

247 views

Comments

0 comments