Slaa: Wazee wa Uzini Puuzeni Propaganda ya Udini
Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Slaa amewataka Wazee wa Jimbo la Uzini kupuuza Propaganda inayoenezwa kuwa Chadema ni Chama cha Wachaga na Wakristo. Slaa alisema Sekretarieti ya Chadema na Uongozi wa Chama hicho umujuisha Waislam pamoja watu wa makabila mbalimbali. Pia aliwataka kuichagua Chadema ili iwasemee Wanyonge wa Zanzibar.
click to rate
253 views
Comments