Mgomo wa Madaktari: Wanaharakati waandamana jijini Dar

Posted by Proches Tairo
Makundi ya wanaharakati pamoja na mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini Tanzania yamefanya maandamano ya amani na kufunga barabara kuu katika jiji la Dar es laam leo kama njia ya kuishikiza serikali kuchukua hatua za haraka kutatua mzozo wa mgomo wa madaktari. Wakati huduma za matibabu ikiwemo katika hospitali kuu ya muhimbili zimesimama kwa muda usiojulikana kufutia mzozo uliopo baina ya madaktari na serikali, hatua iliyofanya madaktari hao kuingia kwenye mgomo usiojulikana. Audio kwa hisani ya Sauti ya Amerika na picha kwa hisani ya Legal and Human Rights Centre (LHRC)
Posted February 9 - Filed in News & Politics - #  #VOA  #Mgomo  #madaktari  #LHRC 
click to rate

298 views

Comments

1 comment