Zitto Kabwe akiongea na wananchi Handeni, Tanga
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema-Bara Mh.Zitto Kabwe (Mb) amewataka Wananchi wa Kata ya Mkata Wilayani Handeni Mkoani Tanga kujiunga na Mageuzi kwa kuchagua vyama vya upinzani ili kuharakisha maendeleo ya Mkoa wa Tanga na kuwa na sauti mbadala. Zitto yuko Mkoani Tanga kwa ziara ya kujenga Chama iliyoanza tarehe 18Feb 2012
click to rate
342 views
Comments